NMB Tanzania
Official Account
- Sep 13, 2014
- 94
- 231
kuna huduma gani humo? mnaweza toa mikopo kwa kupitia huduma hio tu bila kufika kwenu?Salaam Wadau,
Tunakusogozea huduma zetu karibu yako zaidi kupitia ubunifu mpya katika ulimwengu wa kidigitali, NMB KLiK nama rahisi, salama na isiyo na usumbufu wa kuwa na huduma za kibenki wakati wote. Pakua NMB KLiK App kwenye Google PlayStore na iOS Store sasa ufurahie huduma za kidigitali kiganjani. Vigezo na Mashart kuzingatiwa. #NMBKLiK
View attachment 836588
Salaam sana Kivumahkuna huduma gani humo? mnaweza toa mikopo kwa kupitia huduma hio tu bila kufika kwenu?
Mkuu unaweza kuelezea japo machache kuhusu hiyo App?Hongereni mmejitahidi, nimeipakua nakuijaribu kuitumia ipo vizuri sana, mmejitahidi.
Karibu ndugu ChillahNmb kiliki amepotea ghafla... Au ana endelea kuhudumia Wateja katk app
Asante sana kwa mrejesho ndugu Joshua. Endelea ku KLiKipo vizuri sana tofauti na App ya Zamani hii imekaa vizuri. Nimefurahi hakika
Hello Tony,why sisi tunaotumia windows phone mnatutenga!??kwahiyo sisi hatustahili kuwa na hizo NMB app!?Please be considerably
Hello NelvineMbona playstore siipati?
Naam ndugu Monde,Mkuu,mimi ni mteja wenu tangu kitambo...vp naweza kupata huduma ya loan salary advance (kupatiwa kiasi kidogo cha fedha then mkopo ukitoka mnanikata kwenye salary!