NMB kuna matatizo gani? Benki Advance inaniambia nina mkopo wakati sijakopa

NMB kuna matatizo gani? Benki Advance inaniambia nina mkopo wakati sijakopa

Naju23

Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
47
Reaction score
77
Kitendo cha kuomba na kuniambia nina mkopo bado sikielewi kabisa.

Sidaiwi na nmb kwanini napata ujumbe huu? Mjuzi anayejua tafadhari

Naju.
 
Kuna mpuuzi mmoja kakopa huko katika hivi vikampuni uchwara vinavyokopesha mitandaoni harafu kakuweka wewe kama mdhamini....
 
Back
Top Bottom