Nmb Lindi branch: Huu si Uungwana kwa kweli.

Nmb Lindi branch: Huu si Uungwana kwa kweli.

Mr. Bigman

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2011
Posts
2,560
Reaction score
1,300
Niko hapa kwenye mashine zao za ATM toka saa 12 alfajiri. Mashine zimezima hakuna umeme wa Tanesco hapa mjini tangu jana usiku na wao hawajafika kuwasha jenereta lao la standby ambalo tunajua lipo. Zaidi ya wateja 500 hivi sasa wamepanga foleni wanasubiri huduma. Hivi kwa nini hii benki ina huduma mbovu kiasi hiki? Eti ATM saa 24! Hivi nikiamua kuwashtaki mnilipe fidia( pamoja na Tanesco ofcourse) mtajitetea vipi kwa kunisababishia hasara? Meneja wa Nmb huko nyumbani kwako hebu amka uje hapa ukutane na sisi
 
Back
Top Bottom