Nmb sidhani kama kuna mteja wanamkataa. Na loans zao nadhani zinaenda hata miaka sita. Tembelea tawi lolote nadhani utapata ushauri ama piga hii 022 2668871 watakupa maelekezo.
Mkopo wa NMB maximum ni mara kumi ya take home yako.mimi ni mwajiriwa wa serikali take hm mshahara ni 420,000.Nataka kukopa milion 5 nmb,je nakolify?naomc kujua interst rate zao ni kiasi gani na loan period zao.