NMB mobile call center 15166 vipi?

NMB mobile call center 15166 vipi?

wamebadilisha namba yao sasa ni 15566
 
Nimejaribu kupiga 15566 napata voice msg kutoka Airtel kuwa
"NAMBA ULIYOPIGA HAIPO, TAFADHARI ICHUNGUZE VIZURI NAMBA HIYO NA UJARIBU KUPIGA TENA "

msaada tafadhari
 
Something should be wrong somewhere.... NMB mobile haifanyi kazi, naambiwa ac yangu imezuiwa kwa maelezo zaidi piga # hiyo isiyopatikana..
 
Something should be wrong somewhere.... NMB mobile haifanyi kazi, naambiwa ac yangu imezuiwa kwa maelezo zaidi piga # hiyo isiyopatikana..
<br />
<br />
Duh!pole sana mkuu...kumbe tupo wengi tunaopata adha hii.Pls watu wa NMB,hope mpo humu tusaidieni jamani.
 
Back
Top Bottom