L Log Member Joined Nov 27, 2010 Posts 78 Reaction score 45 Aug 4, 2011 #1 Nijulisheni kama nanyi mnapata tabu kuwapata
J Joseph Ngomasi Member Joined Jul 20, 2011 Posts 13 Reaction score 1 Aug 4, 2011 #2 Sijawah kuwapata hata sku 1 kwanza nikipiga naambiwa no. haipo.!
mojoki JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 1,313 Reaction score 290 Aug 4, 2011 #3 wamebadilisha namba yao sasa ni 15566
L Log Member Joined Nov 27, 2010 Posts 78 Reaction score 45 Aug 4, 2011 Thread starter #4 Nimejaribu kupiga 15566 napata voice msg kutoka Airtel kuwa "NAMBA ULIYOPIGA HAIPO, TAFADHARI ICHUNGUZE VIZURI NAMBA HIYO NA UJARIBU KUPIGA TENA " msaada tafadhari
Nimejaribu kupiga 15566 napata voice msg kutoka Airtel kuwa "NAMBA ULIYOPIGA HAIPO, TAFADHARI ICHUNGUZE VIZURI NAMBA HIYO NA UJARIBU KUPIGA TENA " msaada tafadhari
T Tajiri Mtoto JF-Expert Member Joined Feb 12, 2009 Posts 223 Reaction score 590 Aug 4, 2011 #5 Something should be wrong somewhere.... NMB mobile haifanyi kazi, naambiwa ac yangu imezuiwa kwa maelezo zaidi piga # hiyo isiyopatikana..
Something should be wrong somewhere.... NMB mobile haifanyi kazi, naambiwa ac yangu imezuiwa kwa maelezo zaidi piga # hiyo isiyopatikana..
PayGod JF-Expert Member Joined Mar 4, 2008 Posts 1,259 Reaction score 60 Aug 4, 2011 #6 Tumia namba hii 0714150660
Rugaijamu JF-Expert Member Joined Jul 10, 2010 Posts 2,942 Reaction score 1,298 Aug 5, 2011 #7 Tajiri Mtoto said: Something should be wrong somewhere.... NMB mobile haifanyi kazi, naambiwa ac yangu imezuiwa kwa maelezo zaidi piga # hiyo isiyopatikana.. Click to expand... <br /> <br /> Duh!pole sana mkuu...kumbe tupo wengi tunaopata adha hii.Pls watu wa NMB,hope mpo humu tusaidieni jamani.
Tajiri Mtoto said: Something should be wrong somewhere.... NMB mobile haifanyi kazi, naambiwa ac yangu imezuiwa kwa maelezo zaidi piga # hiyo isiyopatikana.. Click to expand... <br /> <br /> Duh!pole sana mkuu...kumbe tupo wengi tunaopata adha hii.Pls watu wa NMB,hope mpo humu tusaidieni jamani.