nilishawahi ku-recharge kwa nmb mobile...., hadi step ya mwisho ya ku-confirm pale ikagoma.., lakn ni kweli salio lilikatwa
Siku nyingine..., namtumia jamaa yangu mchango wa harusi maana na yy amejisajili nmb mobile.., nafika step ya mwsho wananambia nibonyeze sifuri ku-confirm..., ikagoma lakn laki moja ilipotea na nlipoenda fatilia mlimani city ambapo nliomba mini statement ilionesha ile transaction lakn jamaa yangu hakupata ile pesa.., na ni mtu namuamn asingeweza kunidanganya..., 2 ths day staki kabisa kuitumia kwa malipo au ku2ma pesa.., mm naangaalia 2 salary imeingia au la...
na ukitaka kujua hii system ina matatizo yake..., ukiangalia balance ina flactuate sana...., mara inashuka mara inapanda..., kuweni makini na tarakimu nne za mwisho za balance yako, utagundua hili