J J'MWA Member Joined Nov 1, 2013 Posts 51 Reaction score 5 Jan 31, 2014 #1 Nimejitumia fedha toka nmb kupitia nmb mobile kwenda m-pesa leo siku ya tatu haijafika. Ukiwauliza wanatupiana mpira nmb na m-pesa. Kama sio wizi ni nini?
Nimejitumia fedha toka nmb kupitia nmb mobile kwenda m-pesa leo siku ya tatu haijafika. Ukiwauliza wanatupiana mpira nmb na m-pesa. Kama sio wizi ni nini?