Wisdom youlth
Member
- Sep 14, 2011
- 73
- 17
Wadau nimeishi nje ya nchi kwa miaka mitatu na bado nipo huku, tatizo ni hivi wakti nakuja huku niliko niliacha ankaunti yangu ikiwa na laki tano kuilinda mda wa miaka mitatu mwaka jana nikatuma mtu anifanyie diposit kufika huko akaambiwa akaunti imefungwa, nacho jiuliza itawezaje fungwa na kukiwa na pesa yangu? Pili nikaona isiwe tabu nikamtumiamdogo wangu wa form 2 afungue akaunti yeah amefanikiwa cha ajabu kadi wamempa haina picha.