Wisdom youlth
Member
- Sep 14, 2011
- 73
- 17
Wadau nimeishi nje ya nchi kwa miaka mitatu na bado nipo huku, tatizo ni hivi wakti nakuja huku niliko niliacha ankaunti yangu ikiwa na laki tano kuilinda mda wa miaka mitatu mwaka jana nikatuma mtu anifanyie diposit kufika huko akaambiwa akaunti imefungwa, nacho jiuliza itawezaje fungwa na kukiwa na pesa yangu? Pili nikaona isiwe tabu nikamtumiamdogo wangu wa form 2 afungue akaunti yeah amefanikiwa cha ajabu kadi wamempa haina picha.
nasikitika sana ndugu yangu kukaa kote nje unakuwa na uelewa mdogo sana katika masuala ya kibenki! inakuwa hivi akaunti yoyote ambayo sio fixed isipokuwa na operation yoyote kwa maana ya kudeposit au kutoa pesa ndani ya mwaka mmoja...inafungwa, na kufungwa kwake sio kwamba hela zako zinachukuliwa la hasha, unatakiwa kujaza fomu maalum na kulipia sh elfu kumi kama sikosei then akaunti na hela zako zinarudi kama ilivokuwa.
pili, suala la kutokuwa na picha kwenye ATM card ndio taratibu za kisasa..wewe huko uliko nje huoni hata ATM card za wenzetu...??? zina picha? cha msingi hapa ni details tu za akaunti ya mteja husika.
Nilifuatilia kwa karibu sana nikaambiwa kuna malalamiko ya haina hiyo yanashugulikiwa kwa kua mda niliokua nao haukutosha kuhangaiki je vipi kwa hili la bwana mdogo kupewa kadi bila picha halina tabu?
nasikitika sana ndugu yangu kukaa kote nje unakuwa na uelewa mdogo sana katika masuala ya kibenki! inakuwa hivi akaunti yoyote ambayo sio fixed isipokuwa na operation yoyote kwa maana ya kudeposit au kutoa pesa ndani ya mwaka mmoja...inafungwa, na kufungwa kwake sio kwamba hela zako zinachukuliwa la hasha, unatakiwa kujaza fomu maalum na kulipia sh elfu kumi kama sikosei then akaunti na hela zako zinarudi kama ilivokuwa.
pili, suala la kutokuwa na picha kwenye ATM card ndio taratibu za kisasa..wewe huko uliko nje huoni hata ATM card za wenzetu...??? zina picha? cha msingi hapa ni details tu za akaunti ya mteja husika.
kama wanataka kuiga kila kitu cha nje waige kuleta mashine za ATM zisizomeza kadi za Benki
huko nje unaswap au unaingiza na kuchimoa kabla hujafanya transaction, hii teknolojia ya kumeza kadi za benki ishapitwa na
wakati
kama una vielelezo hajafungwa iko domate fuatilia hela zako zipo