A
Anonymous
Guest
NMB Njombe madiridha yako mawili tu ya kuchukulia pesa na ndiyo yanahudumia mji mzima wa Njombe, yaani unafika saa tatu asubuhi ujue kuondoka saa sita hiyo ndo upate huduma.
Unaweza Kuta katika hayo madirisha mawili unakuta teller mmoja tu anafanya kazi. Watu siyo wanapenda kuchukulia hela dirishani ila huwq kuna dharura kama vile kadi kupotea ama kusahau.
Tunaomba sana wajirekebishe jamani🙏🙏