Nmb nmb nmb msaada

Nmb nmb nmb msaada

Joined
Jan 22, 2014
Posts
42
Reaction score
2
naomba kujuzwa NMB wanakata makato ya asilimia ngapi ukichukua mkopo, mfano mkopo wa miaka 2,3,4,5 na mambo yapi yanazingatiwa naombeni msaada jamani
 
Miaka 5 riba asilimia 18 kama wewe ni mtumishi.
 
Asante babav iyo asilimia 18 inakatwa toka kwenye gross au take home
 
Last edited by a moderator:
Wanamega kwenye "Basic Salary" ya sasa. Hivyo baada ya kuchukua mkopo take home yako itakuwa pungu kwa kwa asilimia wanayo kukata.

mkuu, vipi kama unataka kuchukua mkopo kupitia land/house lease, hii inakaaje?
 
mkuu, vipi kama unataka kuchukua mkopo kupitia land/house lease, hii inakaaje?
  • Kwanza lazima uwe na document husika za hiyo ardhi/ nyumba
  • Physicall watakuja hakiki uwepo wa hiyo arddhi/ Nyumba.
  • Pia huwa wanaangalia flow ya fedha kwenye account yako angalau kwa miezi mitatu [kama wewe ni mfanya biashara]
  • Kwa mtumishi serikalini - Mkurugenzi/ mwajiri wako huwa ni mzamini wako hivyo waweza kuchukua mkopo wa muda mfupi au wa muda mrefu - Hapa kinachoangaliwa ni miaka mingapi umebakiza ya kuwa mtumishi kabla ya kustaafu
Ila ni vyema kufika tawi la NMB lilo karibu nawe ili kupata ufafanuzi wa kina zaidi.
 
Mwl RCT asante sana kwa kutuwakilisha vema nmb bank agwambo halisi unahitaji mkopo wa biashara au mtumishi?be specific nikusaidie na uko sehemu gan?
 
Back
Top Bottom