NMB sasa IPO mtaani kwako, kwa kufungua account ya chap chap

Huu ni upumbavu matangazo ya kampuni kubwa kama NMB waacheni wenyewe walete JF ili JF iongeze kipato
 
hata mm nashangaa benki kubwa kama hii inaweka tangazo lisiloweka inashangaza sana
 
Mimi nimijiunga tayali.ila nimiletewa ujumbe ambao unasema.tafadhali sibitisha usajili wa kadiyako kabra ujaanza kutumia NMB mobile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…