jaffari odhiambo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 526
- 13
Huduma ya Bank ya NMB tawi la Bunda Mara sio nzuri. Unakuta wateja ni wengi wa kuweka pesa. na wahudumu ni wawili tu. Then hao wahudumu wana low speed kwa kutoa huduma zao. Hili tatizo nimekumbana nalo leo ambapo mpaka mda huu niko humu ndani. Inanipa shida sana maana mimi sio mkaazi wa hapa nilifika hapa kuchukua pesa zangu kwa jamaa ndipo nikaona niweke bank kabla sijaondoka kuelekea Arusha maana naenda kulala Mwanza. Sasa kwa huduma yao hii inakuwa tabu sana kwa watu wenye haraka zao. Haya yote ni kwa sababu ya kwamba ni bank moja hapa Bunda na hizi taarifa nimepata kwa wenyeji ambao walikuwa bank na kudai kuwa hawana namna yoyote kwa kuwa ni bank moja. Nilishangaa kuona ni bank moja tu ndani ya Bunda na kujiuliza matawi mengine yako wapi ila nilikoswa jibu.