Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
https://www.jamiiforums.com/
Wakuu habari, iv hawa nmb nikiraka kuwafanyia umafia na kunilipa usumbufu nawafanyaje?
Ni hivi, nilikuwa nadsiwa mkopo ambao ulikuwa unaisha mwezi wa kumi na moja, maana si huwa wanakata kwenye mshahara.
Sasa kama unavyojua wanajeshi, kuna ka rations na hela ya vinywaji.
Ukijumlisha ni kama laki 6 na point,
Cha kushangaza mwezi wa 12 mshahara nimetoa vizuri tu wala hawakukata, ila ikaja kwenye ration na vinywaji nashangaa wamekwapua hela yote.
Nimewandikia barua nikiambatanisha bank statement na payslip inayoonyesha hawanidai kabisaa, nimepeleka jana na mpaka sasa naona wananitumia sms sijui wananishukuru kwa kuws mteja wao mara nini. Yani wananitia hasira sana.