NMB wamekata pesa yangu

Under-cover

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2023
Posts
1,834
Reaction score
3,042
https://www.jamiiforums.com/
Wakuu habari, iv hawa nmb nikiraka kuwafanyia umafia na kunilipa usumbufu nawafanyaje?

Ni hivi, nilikuwa nadsiwa mkopo ambao ulikuwa unaisha mwezi wa kumi na moja, maana si huwa wanakata kwenye mshahara.

Sasa kama unavyojua wanajeshi, kuna ka rations na hela ya vinywaji.
Ukijumlisha ni kama laki 6 na point,

Cha kushangaza mwezi wa 12 mshahara nimetoa vizuri tu wala hawakukata, ila ikaja kwenye ration na vinywaji nashangaa wamekwapua hela yote.

Nimewandikia barua nikiambatanisha bank statement na payslip inayoonyesha hawanidai kabisaa, nimepeleka jana na mpaka sasa naona wananitumia sms sijui wananishukuru kwa kuws mteja wao mara nini. Yani wananitia hasira sana.
 
Shukrani zitaambatana na kurudisha Pesa zako
 
kaka umeshindwa kuvaa gwanda ukawatimbia hapo tawini.Tangu lini mwanajeshi akashindwa!!😂
 
Kwa maelezo umesema wewe ni mwanajeshi ila mwandiko wako na sauti vinaonesha wewe ni mwalimu.
 
Naanza kuhisi hivyo, nawaza ikitokea waka ni mute nichukue hatua gani?.
Kama kila kitu kiko sawa watarudisha ila ni lazima ufuatilie. Ukikaa kimya wanakaa kimya pesa inapotea
 
Tuanziea hapa kwanza
1. Hivi ukikopa pesa bank, anayetakiwa kukukata pesa ya rejesho ni bank au mwajiri wako na kuiwasilisha bank!?
2. Nijuacha mimi, makato yote ya mwajiriwa huwa yanategemea na payroll ya mwezi husika. Hakuna makato yatafanyika kama payroll haina component ya makato, isipokuwa kama umeweka standing order

Zaidi ya yote, ukikatwa bank pesa kimakosa, kurudishiwa ni mchakato mkuu, sio issue ya mtu mmoja, its a process.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…