Political Engineer2
Senior Member
- Feb 23, 2018
- 149
- 117
Wakuu hivi NMB wanapokutumia SMS kwamba karibu upate Mkopo wenye riba nafuu kwa kukitaja jina kabisa,wanakuwa wanapata wapi taarifa zako?
Je wako serious watakupa mkopo?
Je wametumia kigezo gani kuku identify kwa jina na kukutaja ?
Je hawatahitaji dhamana?
Asante karibu wenye uzoefu na swala hili.
Je wako serious watakupa mkopo?
Je wametumia kigezo gani kuku identify kwa jina na kukutaja ?
Je hawatahitaji dhamana?
Asante karibu wenye uzoefu na swala hili.