Political Engineer2
Senior Member
- Feb 23, 2018
- 149
- 117
Mengine yote achana nayo ila ukikopa Laki 5, ambayo ni sehemu ya mshahara wako... Gharama zinafika elfu 50Wakuu hivi NMB wanapokutumia SMS kwamba karibu upate Mkopo wenye riba nafuu kwa kukitaja jina kabisa,wanakuwa wanapata wapi taarifa zako?
Je wako serious watakupa mkopo?
Je wametumia kigezo gani kuku identify kwa jina na kukutaja ?
Je hawatahitaji dhamana?
Asante karibu wenye uzoefu na swala hili.
Kumbe...!Mengine yote achana nayo ila ukikopa Laki 5, ambayo ni sehemu ya mshahara wako... Gharama zinafika elfu 50
wevi sana hawa watu na CRDB pia.. Hizi bank mbili zime introduce kitu kinaitwa salary advance.... Unakopa si zaidi ya nusu ya mshahara wako ambao unapitia kwenye bank zao....Kumbe...!
Hapana,ila account naitumia kupitisha mshaharaUlishawahi kukopa? kama umewahi namba yako wanayo kwenye fomu.
Kama mtumishi na huna deni unaweza kupata
Safi sana.Acheni longo longo nyie!Hii mikopo wengine tunaitafuta kwa mbinde halafu nyie mnazingua!Hii ni kwa ajili ya wanaume wa kazi,tatizo watoto wa kike mnapoanza kupokea mishahara kupitia benki mkipewa ofa ya mikopo mnawaza kuibiwa ibiwa tu.
Waachieni wanaume ndo wanajua jinsi pesa inavyozungushwa na kuleta faida