NMB wanatoza riba kiasi gani kwenye Salary Advance?

NMB wanatoza riba kiasi gani kwenye Salary Advance?

Wazee naomba kuuliza anayejua riba wanayotoza nmb kwenye salary advance
Habari yako mwl? Vp kadi ya benk unayo au ulishaikabizi maboto? Sasa unataka salary advance tena. Pole!!!
 
Salary advance imepoteza ubora. Unakopeshwa sh 10,000 hadi 14,000 tu.

Sasa ukope ya nini?
 
Back
Top Bottom