NMB waongeza kiwango cha mikopo kwa watumishi wa umma

J'MWA

Member
Joined
Nov 1, 2013
Posts
51
Reaction score
5
Wakuu kuna tetesi flani nimesikia kwamba NMB wameongeza kiwango wanachoweza kuwakopesha watumishi wa umma,ina ukweli hiyo?

Nawasilisha.
 
Wakuu kuna tetesi flan nimesikia kwamba nmb wameongeza kiwango wanachoweza kuwakopesha watumishi wa umma,ina ukweli hyo?

nawasilisha

bro,wameongeza na wananunua deni ulilo kopa kwenye taasisi zingine za fedha,tembelea tawi lolote ukapate maelezo zaidi.
 
bro,wameongeza na wananunua deni ulilo kopa kwenye taasisi zingine za fedha,tembelea tawi lolote ukapate maelezo zaidi.

Nashukuru sana mkuu Flex kwa taarifa,nikitoka huku kijijini nilipo nitawatembelea nipate maelezo zaidi
 
ni kweli wameongeza umri wa mikopo hadi miaka mitano. lkn dado kuifikia CRDB.

nilienda kuuliza nitapata beu gani, crdb wakasema 11,200,000, wakati NMB wakasema 10,500,000 lkn riba ya nmb ikawa juu kwa tofauti na crdb kwa 460,000s hivi.

nataka kuwaona tpb ili nione pafaapo.
 
NTAGUNGA, mkopo huo ni kwa mfanyakazi anayepokea shilingi ngapi kwa mwezi?
 

nashukuru mkuu,kwa hyo marekebisho ni kwenye umri wa kuwalipa hela yao (miaka mitano) au na kiwango cha kuchukua hela kimeongezeka? (bila kujali utawalipa kwa muda gani)
 
TGTSD1 watakua wanatoa ngapi mkuu NTAGUNGA?
 
Mikopo ya watumishi wa umma ni majanga kama huendi kuzalishia. Maana muda wa marejesho ni mrefu sana mimi nilikopa 6.5 m marejesho ni miezi 48 na riba ilikuwa tshs 3.2m. Mshahara wangu sio mkubwa hivyo ni full maumivu. Ukizingatia mkopo nilinunulia plot. Hivyo hii mikopo ya watumishi ni full maumivu na mateso juu kama nia siyo biashara. Mikopo ya biashara ni cheap pamoja kuwa ina marejesho makubwa hivyo biashara inatakiwa kuwa na tija ya kurejesha mkopo mf 15m riba ni 1m marejesho ni around 13 months. Uamuzi ni wetu
 
Mkuu, vipi unafahamu mashariti ya huo mkopo wa biashara? Nahisi kama umenivutia..
 
Mkuu, vipi unafahamu mashariti ya huo mkopo wa biashara? Nahisi kama umenivutia..
ndugu unaweza kwenda tawi lolote la NMB na kuulizia mashart ya mikopo ya biashara wanaelekeza vizuri sana. Mimi sijui masharti yote ila wanaangalia biashara yako, mauzo na wanakukokotolea kiasi unachostahili na ni lazima uwe na biashara kwani pia unatakiwa mauzo yaingie bank kwa wiki ndo ukachukue kununuia bidhaa.
 
Wakuu kuna tetesi flani nimesikia kwamba NMB wameongeza kiwango wanachoweza kuwakopesha watumishi wa umma,ina ukweli hiyo?

Nawasilisha.

Bora wangekuwa wamepunguza riba na co walivyofanya.
 

Mkuu hakubali kama nikikopa alafu nikawarudishia kabla ya hiyo miezi 48 kufika?
 
Hivi kwa NMB kama unakopeshwa 13M kwa miaka 5 unatakiwa kulipa bei gani?,nataka kufanya maamuzi magumu.Pia salary scale yangu ni TGS E/1
 
Mmh hiyo riba mi asilimia 50?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…