Nmb yaanzisha kilimo account

PayGod

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2008
Posts
1,259
Reaction score
60
Bank ya NMB imeanzisha kilimo account ambayo imezinduliwa mwenzi wa kumi na moja katika mkoa wa mtwara. CEO wa nmb amesema account hiyo ya kilimo itakuwa na interest ya 6% na itakuwa haina mantanance fees.
Nia ya hiyo ya account ni kumsaidia mkulima kusave fedha na baadae kutumia hiyo fedha kununua pembejeo za kilimo
 
Afadhali sasa serikali ina pay forward kwa kuwakumbuka wakulima. Pamoja na sera ya kilimo kwanza kama wakulima (kiukwelii) watafaidika na mikopo hii basi tutegemee miaka ya hivi karibuni GDP ya taifa la Tanzania itapanda kutoka na mauzo ya bidhaa za kilimo nchi za nje.
 
sijakuelewa vizuri mkuu iyo akaunt ipo branc zote za nmb au mtwara pekee.
 
Ni huduma nzuri, nadhani kama itafanyika ktk branch zote Tanzania nzima basi wakulima watafaidika sana
 
sijakuelewa vizuri mkuu iyo akaunt ipo branc zote za nmb au mtwara pekee.

wameanza na mtwara kama pilot branch, alafu baada ya hapo itaenea nchi zima, kwenye matawi yote
 
Hii ni habari njema sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…