M Mangungo wa mwibara Member Joined Feb 22, 2014 Posts 29 Reaction score 3 Jul 22, 2014 #1 wadau naomba kama kuna mwenye detail atujuze, niliomba mkopo nimeenda kufuatilia nikaambiwa wamepewa taarifa kutoka makao makuu kuwa wasitishe kutoa mikopo.
wadau naomba kama kuna mwenye detail atujuze, niliomba mkopo nimeenda kufuatilia nikaambiwa wamepewa taarifa kutoka makao makuu kuwa wasitishe kutoa mikopo.
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Jul 22, 2014 #2 Wasitishe kutoa mkopo watafanyaje biashara, huyo loan officer akupatie hiyo barua, unless otherwise kakuona ''mbugilu'' anataka umkatie chake ndo kielweke
Wasitishe kutoa mkopo watafanyaje biashara, huyo loan officer akupatie hiyo barua, unless otherwise kakuona ''mbugilu'' anataka umkatie chake ndo kielweke