Pagani Zonda
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 685
- 468
Wakuu mimi kuna mtu aliniibia simu yangu usiku wa saa tisa nilimuona dirishani( kuna taa imefifia mwanga lakini unaweza kumuona mtu na mlangoni(pale mlangoni kuna ka duara hivi kwahiyo kabla ya kufungua mlango nilimuona na penyewe kuna taa ambayo inamulika vizuri) sasa zikapita siku nikawa namuona sehemu. Ikabidi niende kumshtaki. Wakauliza anapokaa anasema mtaa ule ule ninaokaa mimi, ila kijana akakataa kata kata kwamba siyo yeye, akati yeye ndiye niliyemuona ila anabisha . Basi wakasema kesi ipelekwe mahakama. Ndiyo tunasubiria week ijayo. Vipi ni maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?
Wakuu mimi kuna mtu aliniibia simu yangu usiku wa saa tisa nilimuona dirishani( kuna taa imefifia mwanga lakini unaweza kumuona mtu na mlangoni(pale mlangoni kuna ka duara hivi kwahiyo kabla ya kufungua mlango nilimuona na penyewe kuna taa ambayo inamulika vizuri) sasa zikapita siku nikawa namuona sehemu. Ikabidi niende kumshtaki. Wakauliza anapokaa anasema mtaa ule ule ninaokaa mimi, ila kijana akakataa kata kata kwamba siyo yeye, akati yeye ndiye niliyemuona ila anabisha . Basi wakasema kesi ipelekwe mahakama. Ndiyo tunasubiria week ijayo. Vipi ni maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?
Wakili: Ushahidi?
Wewe: Naapa nilimuona haki ya Mungu na udongo nalamba.
Kama huna ushahidi hiyo imeenda.
Kweli kabisa🤝Mahakamani na pagumu na wakati mwingine unaweza kutumia gharama kubwa kuliko za hiyo simu
Ushauri mzuri kabisa, kama hana ushahidi ndio kashapoteza hivyo ni bora alielewe hilo mapema kuepuka usumbufu.Ningekuwa wakili wako, ningekushauri utumie njia mbadala (amicably) kabla ya uamuzi wa kwenda hata polisi. Hii ingekusaidia vitu vingi ikiwemo kukusanya ushahidi n.k, kwasababu kwa aina ya case yako (jinai) una ushahidi hafifu (wenye kuacha shaka) na hivyo unaweza jikuta simu umepoteza na muda pia umepoteza. Nakushauri next time ukiwa una haja ya kufikishana katika vyombo vya kisheria, wasiliana na wakili kwanza.
NI USHAURI TU✍🏽
Huwezi kushinda kesi hii Mahakamani kwa kutegemea ushahidi wako peke yako. Na ukiweka shahidi mwingine wa kupanga ndiyo utafutiliwa mbali mapema.Wakuu mimi kuna mtu aliniibia simu yangu usiku wa saa tisa nilimuona dirishani( kuna taa imefifia mwanga lakini unaweza kumuona mtu na mlangoni(pale mlangoni kuna ka duara hivi kwahiyo kabla ya kufungua mlango nilimuona na penyewe kuna taa ambayo inamulika vizuri) sasa zikapita siku nikawa namuona sehemu. Ikabidi niende kumshtaki. Wakauliza anapokaa anasema mtaa ule ule ninaokaa mimi, ila kijana akakataa kata kata kwamba siyo yeye, akati yeye ndiye niliyemuona ila anabisha . Basi wakasema kesi ipelekwe mahakama. Ndiyo tunasubiria week ijayo. Vipi ni maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?
Hii kesi unashindwa, hata kama ukimkuta na simu bado unashindwaWakuu mimi kuna mtu aliniibia simu yangu usiku wa saa tisa nilimuona dirishani( kuna taa imefifia mwanga lakini unaweza kumuona mtu na mlangoni(pale mlangoni kuna ka duara hivi kwahiyo kabla ya kufungua mlango nilimuona na penyewe kuna taa ambayo inamulika vizuri) sasa zikapita siku nikawa namuona sehemu. Ikabidi niende kumshtaki. Wakauliza anapokaa anasema mtaa ule ule ninaokaa mimi, ila kijana akakataa kata kata kwamba siyo yeye, akati yeye ndiye niliyemuona ila anabisha . Basi wakasema kesi ipelekwe mahakama. Ndiyo tunasubiria week ijayo. Vipi ni maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?
Huna cha maana wewe andaa pesa za kumlipa fidia ya usumbufu na kumdhalilisha uyo unae muita mwizi ili siku nyingine iwe fundisho usikae macho usiku kuangalia mwizi anaiba bila kumchukulia hatua yoyoteWakuu mimi kuna mtu aliniibia simu yangu usiku wa saa tisa nilimuona dirishani( kuna taa imefifia mwanga lakini unaweza kumuona mtu na mlangoni(pale mlangoni kuna ka duara hivi kwahiyo kabla ya kufungua mlango nilimuona na penyewe kuna taa ambayo inamulika vizuri) sasa zikapita siku nikawa namuona sehemu. Ikabidi niende kumshtaki. Wakauliza anapokaa anasema mtaa ule ule ninaokaa mimi, ila kijana akakataa kata kata kwamba siyo yeye, akati yeye ndiye niliyemuona ila anabisha . Basi wakasema kesi ipelekwe mahakama. Ndiyo tunasubiria week ijayo. Vipi ni maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?