Nmejaribu kuangalia mwenendo wa malipo yangu kwenye akaunti ya NSSF, nimekuta claim status imeandika pending, Hii ina maana gani?

Nmejaribu kuangalia mwenendo wa malipo yangu kwenye akaunti ya NSSF, nimekuta claim status imeandika pending, Hii ina maana gani?

machala

Member
Joined
Sep 22, 2024
Posts
9
Reaction score
8
Habari za jion wa wakuu,

Leo nimejaribu kuangalia mwenendo wa malipo yangu kwenye account yangu ya NSSF imekuta claim status imeandika pending hii inamaana gani?

Na ni takribani wiki ya nne tangu ni wasilishi fomu.

Ahsanteni
 
Habari yako ndugu,
Kikawaida Claim status, huwa ziko katika mfuatano huu :- PENDING, LODGED, APPROVED, NA PAID.
PENDING - Ni kwamba faili lako linasubiri kufanyiwa kazi na maofisa wa mafao.
LODGED - Ni kwamba faili lako limewafikia mikononi na wameanza kulifanyia kazi.
APPROVED - Ni kwamba maombi yako yamekubaliwa na yanasubiri kulipwa.
PAID - Ni kwamba maombi yako yameshalipwa.
Mara nyingi mchakato wa baada ya maombi mpaka kulipwa huwa unachukua wiki sita kwa wale wa FAO LA WASIOKUWA NA AJIRA asilimia 33% au wale unskilled labour ambao hufanya kazi kazi ktk miradi mbalimbali.
 
kyagata habari yako mkuu naona claim status ya akaunti yangu imesoma approved tangu jumatatu lakn bado aijawa paid mpaka leo shida inaweza kuwa nn?
 
Back
Top Bottom