Mbona kama hueleweki vile?Habari wana bodi leo mida ya saa 1 nmeokota takriban sh laki mbili na elfu 20 mitaa ya hapa msimbaz kwakuwa mm ni mwislam safi sitaki kuitumia mpk niitangaze akikosekana mwenyewe naitumbua ajitokeze jaman sambazen kwenye magrup sitk hela bila jasho langu
Umefanya sahihi. Na mafundisho ya Quran na Sunna yanataka utangaze Kwa kipindi cha mwaka mmoja mzima Kabla haujakitumia ulichokiokotaHabari wana bodi leo mida ya saa 1 nmeokota takriban sh laki mbili na elfu 20 mitaa ya hapa msimbaz kwakuwa mm ni mwislam safi sitaki kuitumia mpk niitangaze akikosekana mwenyewe naitumbua ajitokeze jaman sambazen kwenye magrup sitk hela bila jasho langu
In shaallah mwenyezi Mungu akujaalie ushikamane na msimamo wako. Jitahidi kumpata mwenyeweHabari wana bodi leo mida ya saa 1 nmeokota takriban sh laki mbili na elfu 20 mitaa ya hapa msimbaz kwakuwa mm ni mwislam safi sitaki kuitumia mpk niitangaze akikosekana mwenyewe naitumbua ajitokeze jaman sambazen kwenye magrup sitk hela bila jasho langu
Niazime Mimi ikipata mwenyewe uniambie nikutumieHabari wana bodi leo mida ya saa 1 nmeokota takriban sh laki mbili na elfu 20 mitaa ya hapa msimbaz kwakuwa mm ni mwislam safi sitaki kuitumia mpk niitangaze akikosekana mwenyewe naitumbua ajitokeze jaman sambazen kwenye magrup sitk hela bila jasho langu