Nmepimishwa HIV/AIDS kwa lazima

Upungufu wa kinga mwilini,..kuna kitu sikielew,kama ni kwel ni uzushi,kwanin mtu huyu anaezushiwa hudhoofika sana,na magonjwa hayamkwepi,na kwanin akipimwa CD4,chembe nyeupe hushuka saaana tofaut na mwenye afya au anaeumwa kawaida,kwanin kansa pia huwaandama hawa,magonjwa ya ngoz ,kuharisha sana,kwanin yawe haya yote,ni kweli kuna uwezekano hiko kirusi kikawa hakuna,lakin sasa ni kipi kinaleta matokeo hayo ya kinga kupungua na magonjwa kumuandama mtu huyu,manake hapa ishu sio kukifaham kirus kama kipo au hakuna,ishu ni hayo matokeo ya hilo tatzo la upunguf wakinga hyo,heb tusaidiane hapa
 
Muongo...!! Siku hizi sekunde tu ushajua status., Hayo majibu unayoyasubiri hadi ukaandika uzi ni ya HIV au kitu gani...!!
Mkuu hiyo inakuwa ni hospitali yako au..? Nijuavyo mimi ukichukuliwa damu unaenda nje unasubiria uitwe
 
Ngoma hainaga kipindi cha dirisha wala mlango. Kama mtu anao anao-tu, na kama hana hana-tu.
Nashauri serikali iige toka Kenya, HIV testing kit ziwe zinauzwa kama pipi. Ili watu wajenge tabia ya kujipima na kupima wengine.
Kwahiyo unataka kusema mtu akiambukizwa leo akipimwa itaonekana? Na pia anawezakuambukiza mwingine siku hiyo hiyo. Sasa nini maana ya ile dhana ya kurudia kupima miezi mitatu baadae?
 
Huu ndo umekuwa mtindo siku hizi mimi wiki iliyopita nlikuwa naumwa kicha eti wakanilazimisha kupima wala hawakuniuliza kama niko tayari kupima au lah
 
Wee jamaa unaakili sana!!

Tena kwa kuongezea hilo jambo lifanyike Public ikiwezekana uwepo uzi maalum kwa ajili ya sisi tulio mbali ili tuweze kujua kinachoendelea, vyombo vya habari vihusishwe kuripoti hilo tukio mubashara!!!

Bila kusahau baraka za serikali zihusike, isije mwisho wa siku kibao kikakugeukia mkuu..!!
 
Reactions: JMF
Haka kaugonjwa kalishajijengea heshima ya pekee, yan pamoja na kupima few months ago na sijakutana na mtu yeyote but bado siion confidence ya kupima tena, hatar sana hehehe kale kakipimo sikaamin pamoja na kuniwekea negative kasije kakanibadilishia gia angani.
 
Mkuu hiyo inakuwa ni hospitali yako au..? Nijuavyo mimi ukichukuliwa damu unaenda nje unasubiria uitwe
Afadhali umemjibu kistaarabu, mie nilitaka kumjibu nikachelea kuharibu swaum yangu, nikatafuta ignore button sikuiona..!!
 
Mkuu hiyo inakuwa ni hospitali yako au..? Nijuavyo mimi ukichukuliwa damu unaenda nje unasubiria uitwe


Inavyooesha hujawahi kupima HIV karibuni wew....!! Haichukui hata dakika Mkuu majibu yashajulikana huko mpaka uitwe vip..!!
 
Inavyooesha hujawahi kupima HIV karibuni wew....!! Haichukui hata dakika Mkuu majibu yashajulikana huko mpaka uitwe vip..!!
Kiukweli nna miaka mingi nlikuwa sijapima. Ni kweli haichukui muda mrefu ila nazungumzia utaratibu wa hospitali nnazoenda mimi....ukiingia maabara unachukuliwa damu unaambiwa subiri nje hivyohivyo na mwingine na mwingine. Damu yako ikishapimwa majibu yanapelekwa kwa Doctor kisha mnaitwa mmojammoja kupewa majibu ya vipimo vyote..na ukumbuke sikupimwa HIV tu nlipimwa na magonjwa mengine maana nlienda hospitali kwa sababu naumwa sikwenda kwaajili ya kupima HII
 
Aphthous Ulcer hiyo ndio maana wamekupima. Inahusiana na HIV/AIDS japo sio lazima
 
sasa haka kaugonjwa sikaelewi elewi, hv na blood groups zikiwa tofauti wataalam wanasema virus wanagoma kuhama.. dah yaani mke anao mume hana, ina maana kakipimo kanafanya kulukulundufutu....
 
japo huwa najipa moyo sina haka kadudu ila kupima ni shughuli nzito

Mara 2 nimepoteza nafasi za kwenda j.k.t kwa hofu ya kukutwa nnao.

aliye leta hii hofu kwangu aliniweza
 
Inaitwa PITC (PROVIDER INITIATED TESTING AND COUNSELLING mtoa Huduma anapoona was was kuhusu AFYA yako au anapoona unahitaji operesheni lazima wajue status yako ni kawaida kabisa siku hizi
 
Duuuuh
 
sasa haka kaugonjwa sikaelewi elewi, hv na blood groups zikiwa tofauti wataalam wanasema virus wanagoma kuhama.. dah yaani mke anao mume hana, ina maana kakipimo kanafanya kulukulundufutu....
Kama kuna kitu tuko nyuma kama watanzania ni kuhusu Elim ya afya ya jamii. Vitu vidogo mpaka uulize hospitali au kwa mtaalam. Tunatakiwa tuwe na BP machine nyumbani, thermometer, glucometer, chati za BMI nk kama basic home items
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…