Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,727
- 8,785
Huelewek mkuu...hiyo pes kw m@neno kwnz!!!!Kama topic inavyojieleza
Kama upo mwanza wee ni fundi welding nataka kitanda cha chuma cha ukubwa wa 4×6 njoo PM tufanye biashara
Leseni ya pombe Kali ulishapata? Kiwanja hapo mwanza ulishapata pia?Kama topic inavyojieleza
Kama upo mwanza wee ni fundi welding nataka kitanda cha chuma cha ukubwa wa 4×6 njoo PM tufanye biashara
Yaap mkuu kiwanja tayari but nafanya mchakato wa kupata leseni si unajua utawala huu hakuna short cutLeseni ya pombe Kali ulishapata? Kiwanja hapo mwanza ulishapata pia?
Passion
Akina Bashite haoduh una LAKI 120,
umeishia darasa la ngapi mkuu?
Kama topic inavyojieleza
Kama upo mwanza wee ni fundi welding nataka kitanda cha chuma cha ukubwa wa 4×6 njoo PM tufanye biashara
😀😀😀Kumbe wakati mwingine unaweza kutukanwa na mtu asiye hata na kitanda humu keyboard hiziii.... utapata ndugu tafuta hata used
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo bei kipo cha 2x4Kama topic inavyojieleza
Kama upo mwanza wee ni fundi welding nataka kitanda cha chuma cha ukubwa wa 4×6 njoo PM tufanye biashara
[emoji4] [emoji4] [emoji1] kitanda kitakua na manundu ya joint kila baada ya sm.20Acha kukatisha wenzio tamaa,aweza tengezewa kwa chuma zinazobaki workshop si lazima fundi akwende kwa duka.