nna milioni 2 nifanye biashara gani ili niweze kupata faida nzuri ya kuendelea

nna milioni 2 nifanye biashara gani ili niweze kupata faida nzuri ya kuendelea

Ulitakiwa kabla ya kuanza kushughulikia mkopo UWE TAYARI NA WAZO LA BIASHARA KICHWANI angalao hata idea tu..ila sio mbaya

milioni mbili sio haba....ila tambua utapata changamoto....unaweza fikiria MPESA..TIGO PESA...inaweza ikawa rahisi kidogo...au kiduka kidogo cha kuuza bidhaa zinazotumika majumbani kila siku......changamato...sehemu na kodi ya pango yaweza ikawa kubwa kidogo.......ukishindwa zote.....nunua pikipiki mbili ajiri vijana ( angalizo...hii yahitaji ufuatiliaji wa hali ya juu...kurahisisha mambo...unaweza ingia mkataba na kijana...unampa target let say ndani ya miezi 26 awe amekuletea kiasi fulani cha pesa akiweza unamwachia pikipiki) kwangu mie naona inaweza punguza usumbufu ila plz uwe mwangalifu kama wewe sio mtoto wa mjini-kama utajingiza kwenye biashara ya pikipiki
 
Ni PM tuelekezane kaka.

Huo ni mtaji mzuri kwa kuanzia biashara kubwa.
 
Tafuta line ya mpesa na ya tigo pesa anza kazi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom