Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Habari za j2 wanaMMU
Kama mada inavyojieleza,nina wiki kadhaa mashine yangu haisimamia mida ya asubuhi
Kwanza nikiri nimekua mpiga nyeto kwa miaka mingi sana almost 19 years nimekua mwanachama
Pili kuna wakati nimeugua sana UTI hadi sasa nahisi mkojo wangu hauko sawa,nakojoa kojo la njano kiasi na sometimes njano ka mafuta ya alizeti na mkojo unanuka balaa
Nikinywa maji mengi au bia nakojoa mkojo white kabisa
Sasa nataka nifahamu suluhisho namna ya kufanya mashine yangu isimamie vizuri pale asubuhi
N.B Nyeto napiga mara moja moja sana