Nna muda sasa Mashine haidindi mida ya asubuhi,nini tiba yake?

Mkuu nisikufiche wewe basi tena yani kwishney... Maana hata watoto wadogo asubuh mambo yanakuaga yamesimama dede.... Bwana alitoa bwana alitwaa pole ushakua bwabwaa
 
Ahaaa haaa mkuu hiyo miaka 19 tutakupa ukatibu uenezi wa nyeto tanzania [chaputa] maana umeongoza chama vyema
 

Hizo ni dalili tosha na tukuka kabisa na muda wowote kutoka sasa kuanza kuwa ' Mtambaliziwaji ' Mkuu.
 
nimekuelewa boss inabidi aufanyie kazi huu ushari wako,kama hataki shauri yake....
 
Mkuu unataka isimame ili iweje mbona una tafran? mie hiyo kitu hua inanikera sanaa hasa asubuhi ikisimama kama msumari wakutundikia koti sipendiiiiiiiiiii hapo ndio mwanzo wa kutoa bao asubuhi,sasa mie nakusihi kama show zako ziko sawa asubuhi isikushughulishe.
 
Kinacho udhi zaidi shem babe..mtu wa hivi ana ndoa pengine au mpenzi,.lakini hakomi.....me nawaombea wanaofanya self-service siku moja zilale doro kabisaa kama mwezi hivi,akili zitawakaa sawa
inasikitisha acha tu... Selfie sio nzuri
 
Kinacho udhi zaidi shem babe..mtu wa hivi ana ndoa pengine au mpenzi,.lakini hakomi.....me nawaombea wanaofanya self-service siku moja zilale doro kabisaa kama mwezi hivi,akili zitawakaa sawa
Inaelekea ushawah kumshuhudia bae wako akijipuchua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…