Ingawa betting is not my forte ila I Know what am talking aboutOdds ni ngapi ?
Faida ya kama utashinda hizo zote ni ya kutosha kuliko emotional roller-coaster uliyonayo hapo ?
Tatizo kubwa zaidi ni mfano ukishinda leo utavimba kichwa huenda wiki kesho ukaweka dau la 1 m...
Pia kwanini uweke man city kama odds zake ni 1.2 au kama hizo kumbuka hapo kwenye laki nzima una kama elfu 20 tu...,(ukitoa kodi 20% ni majanga zaidi) je kuna faida kweli ya kupoteza dau kwa faida ya peanuts kama hio ?
Hahaha wachawi hamkosekani..Huu mkeka ushauchana kwa kumpa chelsea na Man utd.
Wanajamvi habar zenu.
Aisee mimi leo nimebeti,,sijabeti takriban miaka 2 sasa leo nmepata hela ya ziada na haina kazi(nimehongwa),sasa nikaamua nibeti timu nne tu.
Barca
Juve
Man city
PSG.
Zote kushinda kwa dau la laki moja.,
Sasa wadau naombeni mnipe moyo maana nna presha atari,apa ata mechi hazijaanza nmeanza kuwa na presha.
Ushauri wenu jaman.
Chuki na mahaba ya ajabu zinawakosesha hela nyie. Pole sana kijana jua huamini kilichotokeaHuu mkeka ushauchana kwa kumpa chelsea na Man utd.
Duuh!! Mkuu mi sina nenoKanjibai sio mtu mzuri yaani we bet unavyoweza,lakini atatokea mmoja tu tena ambaye humtarajii anakuja anachana mkeka..yaani muhindi sijui mchawi
Kuna siku ilikuwa Europa league nilikuwa nimetambaa kwelikweli yani mikeka nilikuwa nayo miwili mmoja unasoma 1580000 na mwingine mdogo unasoma 30k,basi mzeebaba mechi zoooote zimeenda sawa,akabaki Sevilla nakumbuka alikuwa anacheza na Krasnodar,kwenye mkeka mkubwa Sevilla away x2 na mkeka mdogo Sevilla ashinde normal...basi unaambiwa hadi dk ya 78 Sevilla anaongoza goal 1,nikasema yes hii hela,nilimpa Sevilla kwa sababu kabla ya mechi hiyo alitoka kumpiga mtu 5-0,basi nimeshika mikeka yangu nabana mechi iishe hivyohivyo,dah dk ya 85 Krasnodar wakachomoa,nikasema si mbaya bado dk 5 muhindi leo hatoki nakula huu mkeka mkubwa,lahaula dk ya 90+3 Krasnodar anaongeza goal la pili,unaambiwa Sevilla kakaa 2-1 dadeeeki,siku ile niliapa mimi betting no mwanzo na mwisho leo huyu kanjibai atakuwa na majini
Yaani hadi ushinde bet,siku hiyo muhindi umembana haswaaa yani hana namna
Mi leo naapa sitabeti tena hii laki moja yangu ningempa mama yangu tu.
Pumbavu kanjibai