Nna wasiwasi na Dompo, nahisi kama imechakachuliwa pia

Nna wasiwasi na Dompo, nahisi kama imechakachuliwa pia

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Nahisi kama Dompo imechakachuliwa pia. Hii ni kwa sababu ya reaction ninayo ipata baada ya kunywa dompo.

Tangu nimeacha kunywa beer mwaka 2019 nimekuwa nikitumia zaidi wines kutoka nje ya Tz (more especially South Africa) kwa sababu ya kuogopa kunywa wine zinazotengenezwa hapa Tz baada ya kuwepo kwa story za kuchakachuliwa kwa pombe hizo.

Anyways to cut story short kuna kipindi nilikuwa sehemu ambako aina ya wines ninazo zitaka so nikalazimika kuwa nakunywa dompo. At first ilikuwa naona sawa tu kwa sababu ya reaction yake baada ya kunywa so mara kwa mara nikawa nakunywa dompo pia.

Lakini ndani ya miezi miwili hapa nimejaribu kunywa dompo mara mbili and reaction haikuwa ya kawaida jambo ambalo limesababisha niachane na Dompo mazima..

Je, wahuni wanaweza kuwa wake ichakachua na Dompo pia?
 
Wanaume mnaokunywa wine na nyinyi huwa inawalegeza kama mademu?
🤣🤣🤣

Google health benefits za red wine. Mfano kuna red wine moja inatengenezwa kwa zabibu kutoka Italia na Sometimes South Africa. Is the most healthiest wine on the face of planet earth. Ni dawa bora kabisa ya moyo( kutibu na kuzuia) juu ya uso wa dunia.
 
Habari mkuu,mwenyewe leo nimeamua ninywe dompo kidogo...Hamna kitu hapo,Iko tofauti na zamani hata ladha na harufu yake

Possibly imechakachuliwa pia
 
Back
Top Bottom