Nnauliza kuhusu dawa ya uhanithi

Lavan Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
2,377
Reaction score
2,048
Habari za humu wana Jf
Ninaomba kufaham ni wapi au njia nnaweza kupata dawa ya ugonjwa wa uhanithi.Nina rafiki yangu ana hilo tatizo dushe yake inasimama kwa mwaka mara moja tu.

Je kuna tiba ya huu ugonjwa jamani.??
 
Ushapata tiba,?
 
Kwani kazaliwa namna hiyo??? Tupe kwanza muhtasari wa tatizo lake
 
sema ni mm tukusaidie.km umezaliwa hivo huo ni ulemavu tyr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…