LOOOK JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,389 Reaction score 674 Jun 29, 2013 #1 maana ya msemo huu ni nini????
kapistrano JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,244 Reaction score 454 Jun 29, 2013 #2 Ni msemo kama misemo mingine hakuna cha ajabu hapo.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jun 29, 2013 #3 ccm.chadema said: maana ya msemo huu ni nini???? Click to expand... Ni msemo utumikao kuelezea tufani, maswaiba, kadhia na udhia wote baina ya wanandoa.
ccm.chadema said: maana ya msemo huu ni nini???? Click to expand... Ni msemo utumikao kuelezea tufani, maswaiba, kadhia na udhia wote baina ya wanandoa.
G Sam JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 11,795 Reaction score 36,704 Jun 29, 2013 #4 Huu msemo inaonekana jamaa aliyeongea ana kigugumizi maana mwanzoni alishindwa kumalizia ikabidi aanze tena..si unajua sheria za kigugumizi????abaa abaaa abaa abaaa abaaa abaaa abaaaa abaaaa
Huu msemo inaonekana jamaa aliyeongea ana kigugumizi maana mwanzoni alishindwa kumalizia ikabidi aanze tena..si unajua sheria za kigugumizi????abaa abaaa abaa abaaa abaaa abaaa abaaaa abaaaa