No 1 Remix Yaharibu Mood ya Davido Club

Joined
Nov 4, 2014
Posts
70
Reaction score
20
Hii imetokea katika club mmoja nchini Uganda baada ya Davido kutoka katika club hiyo na kurudi Hotelini.Davido kwa sasa yupo nchini Uganda.Mwenyeji wake ambaye ni Mdogo wa Jose Chamilion amethibitisha Walikatisha Kula raha Club hapo na hatimaye davido kurudi hotelini.Hata hivyo mwenyeji wake hajathibitisha moja kwa moja ila amekiri kusikia hilo jambo.
 
Waliomshobokea huyu dogo sasa hvi wanajuta.
 
Ya kweli hayo?Mbona sasa atakuwa na bifu za kishamba sana
 
Sasa maelezo yako mbona hayasema nini kiliwarudisha hotelini huu lazima umbea tuu.
 
Ya kweli hayo?Mbona sasa atakuwa na bifu za kishamba sayna

yah! ni kweli media za UG zimeripoti,dj alipopiga number one jamaa akaondoka kwa wakaanza kumbembeleza arudi kwenye hiyo party ambayo waandaji walikuwa wanajipongeza,akagoma na kwenda kulala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…