No 13.

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
1,222
Reaction score
776
Naomba kujuzwa tafadhali. Ni kwanini namba 13 inasemekana ni namba ya Mkosi?
 
waulize wazungu ni kwanini kwao tarehe 13 ikiangukia Ijumaa kwao ni mkosi. Siamini hilo kwa waafrika pia.
 
waulize wazungu ni kwanini kwao tarehe 13 ikiangukia Ijumaa kwao ni mkosi. Siamini hilo kwa waafrika pia.

Wewe kama huna majibu kaa pembeni si lazima uandike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…