watu wanaoweza kukupa msaana ni Telephon service provider wako. Lakini hizi kampuni za bongo hazina msaada kwa wateja. Kuna kitu inaitwa Last Call Return. Waulize kama wanaweza kukupatia ata kwa gahrama kiasi unaweza kumjua huyo msumbufu. Inawezekana ni Automatic caliing number ya kampuni moja ya simu kufanya promotion. Wapigie uwaulize waambie wakutoe kwenye list yao
Unaweza kurekodi muda unaopata hiyo simu waulize pia Telephone service provider wakupe info au kama wanaweza kuiblock hiyo number.
Lakini kama anatumia intenet kukupigia itakuwa kazi sababua number fake za internet zinaweza kubadilika. Ila ukijua Internet telephne service provider wake( eg skype, yahoo, smsdiscount, etc) basi hata huyo jama unamdaka.
But inaonkena hiyo ni automatic calling mashine lakini haikuja yenyewe kuna mtu ameiweka kwa malengo yake. Je akipiga simu anakuuliza maswali tofauti tofauti kila mara au anakuuliza maswali yale yale.?