No added sugar

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
14,084
Reaction score
8,384
Wadau ninagombana na mama J hadi basi, mimi sioni shida ya kununua tetra boxed juice mfano Golden circle, Ceres, Delmontre etc nakunywa tu kwa vile naamini zile nembo za 'No added sugar'. On the other hand wife anakasirika sana kuleta hizo product kwenye lounge fridge yetu yani hadi anaamini sio salama.

Hivi ni kweli fresh juice tu ndio salama, hii ya no sugar added ni usanii?


Cc: watu8
 
Last edited by a moderator:
Kweli sana tu.

Kweli kuhusu nini mkuu? Mi ndo naigugumia hapa ukizingatia matunda yenyewe bei kali ka nini, afu uvivu wa kuhangaika mara uoshe juicer, kuchuja aaaghrr
 
Kweli kuhusu nini mkuu? Mi ndo naigugumia hapa ukizingatia matunda yenyewe bei kali ka nini, afu uvivu wa kuhangaika mara uoshe juicer, kuchuja aaaghrr

Chemikali, karibu nakunywa natural.Kisemo chako matunda gali mpaka inakera.
 
kama wameandika hakuna sukari maana yake hakuna!!kunakuwana other kind of sweeteners example aspartame ni artificial sweetener!
 
matunda yako mabibo buguruni na masoko mengine yanaoza !!nenda kajisevie umpe mamito akutengenezee kitu fresh kabisa acha na lugha za kibiashara hizo hapo ni chemicals tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…