No Agenda: Maisha ya Ngwair alijiona New York akiwa Bongoland

Sijui hata nifanye dili ipi
Naona kama vile zote hazilipi
Ofisi maskani
Brekfast njiani.
 
Sijui hata nifanye dili ipi
Naona kama vile zote hazilipi
Ofisi maskani
Brekfast njiani.
Sjui hata nifanye dili ipi, naona kama vile zote hazilipi yaani...
Nishaamua mi kufanya muziki, kuja 41 nae eti anataka mahela
Nimeshachoka haya maisha ya mtaani, ofisi maskani, breakfast mjani {of course yes}
Wakati kichwa kinawaza mamilion, vipi nita'ride na marque stallion {check bling bling}
So kila kona ya mtaa kujimix, figure dili one two, one two the five six
Ikiwezekana unapiga hata fix, so acha uoga wa kulala sjui kituo cha polisi
Bila mapene jua mengi utamiss, achia mbali lazima wajinga wata diss
Mi mwenyewe mtu fulani wa ma'chicks, vipi nitaopoa miss bila ya kuwa na mahela?
Sio visenti kama fifty fifty, kutembea mfukoni mchizi sina hata jiti
So, nyie mnasemaje masela tusake dili tutadaka mahela, yeaaaaaah!
 

Bado sijafanikiwa ila kipindi bado hali ngumu zaidi ya sasa nilikua nafanya mishe zangu mtaani za uchinga uku masikion airfon zangu zinaplay hii ngoma nikichange naweka ya darrasa sikati tamaa but nilikua napenda hili dude mpaka leo zaidi maana lilikua halijakaa kiuzuni but lilikua na content za maisha magumu uku linatengeneza hope kua tupambane mambo yatakua ok

Hua napenda hapa

Mtoto wa kiume najituma na nguvu tena jasiri
Hata shure sikusoma sikua na pesa sio akili..so
Nipe dili mbili kila alfajil then usipe zari la wik2

Ukioniona sipo ujue nishatambaa nisha safiri yan
Niko mbali mi nasaka mahela

NA HII NDO HUA LIFESTYLE YANGU MPAKA KESHO.

RIP ALBETO.

Uzi utunzwe.
 
Jamaa alikuwa mnyama wa hatari,halafu Chamber Squad ilikuwa na watu vichwa sana na kila mmoja alikuwa na staili yake,cheki Noorah kwenye nyimbo zake za Hawa Mademu na Lugha Gongana,jamaa kaimba mwenyewe na sauti za demu wanajibizana ni yeye mwenyewe ameiga hakuna demu aliyemshirikisha..
 
kaskilize maskini wenzngu siku za mwisho mwisho wa maisha yake alitoa ili goma na bwana mdogo mirror..kafanya mabalaa mazito umo alikua na hasira sana it reflect nini alikua akipitia sku za mwisho za maisha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…