No Agenda: Muziki ulimpenda Ben Pol, ila mapenzi ya Mkenya yamempenda zaidi

Alikuwa anaimba ili apate pesa. Saizi anauhakika wa kupata pesa, mapenzi n.k, kwa sasa haoni umuhimu wa kuimba.
 
Nachangia kwakusoma kichwa cha habari tu. Ni kweli Ben Po ukiachilia ile kupakwa mafuta akiwa uchi (niteke) ni mmoja kati ya wasanii ambao hawakuwa na skendo za kijinga. Sijui nini kimempata. Marlaw ilisemekana siasa ndio ilimtoa kwenye reli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…