Masi Lambo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 532
- 360
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni rangi nyeusi ndio inabaguliwa sana duniani, hata wahindi wenyewe kwa wenyewe wale wenye rangi nyeusi wanawabagua ingawa ni wahindi...
Kweli, ndiyo iliyobaki, lakini haitoshi kutupa haki zetu za uananchi, kwani wewe ni foreigner nchini kwako ndani ya mgahawa wa kichina?Sasa Restaurant ya wachina we Mtu mweusi unatafuta nini?Mkilishwa Popo mtamlalamikia nani?Tafuteni migahawa ya watu weusi Wenzenu.