Kwamba unaviu bila kuchakata...!!?Macho tu yanatosha.
Nb.
Wao wanashindana kwa like na coment sisi hapa kwetu ni Kuview tu na kusepa.
no commentAya niambie we Mjukuu wa Mod, Nipigwe ban kwa kosa gani?
La jinai. Ni sawa na kumziba mtu mdomo!No Coment ni kosa