Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Timu inayocheza kibingwa inaokota point aijalishi key prayers wake awapo ama wapo, kitendo Cha kuwakosa wachezaji muhimu 6 wa kikosi Cha kwanza na bado watu wakachapika ipasavyo ugenini ni ishara njema sana kuelekea ubingwa!
Kuna timu juzi walikosekana 4 tu wakapewa kichapo kilichomfanya mpaka kocha akaenda mapumziko kwao, uku Mzee wa mipasho akiwaambia mashabiki wao kuwa timu imechoka baada ya kumfunga jwaneng Sasa sijui yule aliyesafiri kwenda Misri na uyu aliyebaki ni nani alitakiwa achoke zaidi!
Muda mwingine unakubali tu kuwa quality ya wachezaji wako ni ndogo ukiongeza na umri kwenda awawezi kucheza mechi ngumu back to back mnaweza kuwapeleka mloganzila wakiwa hoi!
Point 46 kileleni, mapambano yanaendelea lakini KOPLO MBANGULA ALIPIGAJE PALE?