No divorce at all!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Ladies and Gentle men!!!!



If Women Would Welcome Their Husband Like this There Will Be No Divorces


Pole kwa kazi mume wangu, unaanza na bia au kiburudisho?




Kazi kwenu kina mama/dada………..








Kwa mtindo huu cpati raha peke yake, bali raha kwelekweli................Maty we nae umo.................. unajua kutekenya na kuacha watu wanahngaika hebu cheki majibu hayo halafu we unawapa thanks kama uliwaalika shereheni vile sasa unawashukuru kwa kuhudhuria
 
Wewe kama hujaolewa katafute kale kajamaa kapiga nyeto kwnye ile thread nyingine ukachakachue kila sku mpaka kasahau kuoa mikono yake.
 
Bandugu si amesema ameolewa mwacheni ayafanye hayo anayofikiria then atakuja tupa habari siku si nyingi.
 
Maty............aksante kwa kitchen party..... hebu nambie, umenionea Babu yang Chipirini???? Nimemmiss
 
Hata umfanyeje kama wa talaka ni talaka tu hawana formula hawa viumbe.. Preta hujambo?? Mimi ni yule yule tuliesoma wote kidato kimoja hahahahaaaa lol!! RFG!!

daah...eeh bwanaaa eeeh....hakyanani wallah...duh.....hii maneno umeivumbua wapi....kweli we kichwa....karibu JF bana
 
Mtarajiwa..................nimependa picha yako .......ndo umekuwa mkubwa hivi?? kweli nina kesi ya kujibu.

Unaonaje kuhusu kufanyia praktiko ushauri wa maty?
The st. luvs
 
St............post yako imekuwa catalyst ya chemistry lol..........................natangaza nia sasa.

What if ukipita bila kupingwa....:A S-rose:....hujaacha kazi kwa mkemia mkuu bado?
 
na tusio na uwezo wa kuwa na bia za kuwakaribishia tunawakaribishaje.
anyways, hata ukaribishe kwa bia,chimpumu mbege,dengerua,wanzuki,gongo au valuer divorce kama ikitaka kuja itakuja tu.
MAOMBI TU ndio kinga ya divorce,hayo mengine ni accessories tu!
 
Maty............aksante kwa kitchen party..... hebu nambie, umenionea Babu yang Chipirini???? Nimemmiss

mi nilijua peke angu ndio cmpati babu cjui kajichimbia wapi lol
 
mmmh maty inawezekana ikawa kweli nini
 
Hick! hick! eeeemmmmmmmmm hick kumbe hickkk emmm mko huku hick!!!! orait hickkkkk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…