No Excuse: Try Again, Mangungu na Kocha waondoke Simba Sc

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Sina maneno mengi. Maandalizi,mipango ya mechi na mechi yenyewe yamefanyika hadharani kila mtu ameona. Mpira una matokeo matatu,lakini sisi sio wa kufungwa kila siku na Yanga.

Kocha anafanya majaribio kwa Yanga,akaingia bila kuheshimu mpinzani.
Mnatuhujumu waziwazi. Mnamuacha kocha anajifanyia mambo ya kijinga kabisa. Kwa hiyo Mangungu, Try Again, Kocha, Matola wote hatuwataki.

Nimechafukwa sana leo
 
Ila Try Again anaboa sana si ndio alisema amemsajili Aziz Ki kumbe uongo.
 
Sina maneno mengi. Maandalizi,mipango ya mechi na mechi yenyewe yamefanyika hadharani kila mtu ameona. Mpira una matokeo matatu,lakini sisi sio wa kufungwa kila siku na Yanga.

Kocha anafanya majaribio kwa Yanga,akaingia bila kuheshimu mpinzani.
Mnatuhujumu waziwazi. Mnamuacha kocha anajifanyia mambo ya kijinga kabisa. Kwa hiyo Mangungu, Try Again, Kocha, Matola wote hatuwataki.

Nimechafukwa sana leo
Tatizo una mdomo sana brother,tulikwambia Yanga huiwezi ukashupaza shingo.Mwenzako GENTAMYCINE aliona mbali akaikacha timu.
 
Weka kwanza copy ya kadi yako ya uanachama iliyo hai sio unabwabaja tu, wananchi walituzidi mbinu ulitaka tuingie sisi uwanjani?
Kwa hiyo wao Kila siku wakutuzidi mbinu sisi hatuna mbinu. Huwezi na management isiyo na mipango iyo kampuni itakuwa. Tumekuwa wateja wa Yanga Kila siku, kuna usajili wa kipumbavu umefanyika Simba huwezi ukuta Yanga.
 
Sina maneno mengi. Maandalizi,mipango ya mechi na mechi yenyewe yamefanyika hadharani kila mtu ameona. Mpira una matokeo matatu,lakini sisi sio wa kufungwa kila siku na Yanga.

Kocha anafanya majaribio kwa Yanga,akaingia bila kuheshimu mpinzani.
Mnatuhujumu waziwazi. Mnamuacha kocha anajifanyia mambo ya kijinga kabisa. Kwa hiyo Mangungu, Try Again, Kocha, Matola wote hatuwataki.

Nimechafukwa sana leo
Mechi ya simba na yanga inachezwa nje ya uwanja hao viongozi kutoa ela hawataki unategemea nini..............
 
Sema hii timu wapo watu wanaotakiwa kujiwajibisha wenyewe,hauwezi kupoteza derby mfululizo,yaani ushindi wako droo tu.Tutafukuza sana makocha pale lakini matatizo hayaishi.Hiyo ni derby lakini kwa mpira ule inaonesha tu tutakuwa na aina gani ya timu msimu huu
 
kosa la kocha ni kumtoa chama na kutokumwingiza kapombe,

viongozi wa simba ni mbwa na warafi wakubwa

wanachojua ni biashara za wachezaji tu

haiwezekani unashindwa kununua mchezaji muhimu kwa tsh 400ml halafu unajitapa kutaka kufika nusu final ya caf champions league!

jana tulimuhitaji mtu kama manzoki pale mbele.
 
Back
Top Bottom