No jkt kwa vijana waliomaliza form 6 wenye vigezo vya kwenda chuo waliochaguliwa kwenda second round

Jonatus

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2013
Posts
1,403
Reaction score
379
Hii ndiyo taarifa iliyotolewa na jkt katika website yao

Vijana waliomaliza kidato cha sita mwaka 2014
ambao walipangwa kujiunga na JKT awamu ya pili
na wana sifa za kujiunga na elimu ya vyuo vya
juu (Vyuo Vikuu) wanatakiwa kuandika barua ya
kuahirisha kuhudhuria mafunzo ya JKT mpaka
hapo watakapomaliza masomo yao. Barua hizo
ziwe zimefika Makao Makao Makuu ya Jeshi la
Kujenga Taifa kabla ya tarehe 15 Agosti, 2014.
Barua zinaweza kutumwa kwa:-
Anwani
Mkuu wa JKT
Makao Makuu ya JKT
P.o.Box 1694, Dar es Salaam
E-mail: info@jkt.go.tz (barua iwe na sahihi ya
mhusika na ifanyiwe “scanning”).
Barua iletwe na mhusika Makao Makuu ya JKT.
 
msiogope kwenda nendeni kwanza jkt then msubr chuo mwakani afu kama dv yako ipo tenge piga tena paper..kuna dogo cbg last year alikuw na dv3 mbaya mbaya hv EED komb akaamua kwenda jkt then alporudi kapga tena paper yan habar ni njema dogo ana dv2 flat B..
 


Huyo Bahati ilikuwa ni yake

Lakini sasa kama tusha apply mikopo Duuuh alafu kuahirisha tena haitasumbua kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…