Yapata mwaka sasa toka vijana walio dahiliwa 2011 wameka bila mkopo na wengine hali haikuwa favour nature haikuwaselect wakang'atuka huku fitest waki survive kwa shida na raha. Kwa vijana wa SUA nawapongezeni batch yenu hii hapa ,......http://www.suanet.ac.tz/mikopo_2012_2013_batch_9.pdf. Mlio kosa hapa just calm down batch zingine zinjiani.