joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
At the end of the day, Kenya with its so called "poor planning" is ahead of you in every sector including infrastructure and logistics efficiency where most govt projects are.... So our 'poor planning' has better effectiveness than your 'good planning' ... What does that say about you people !!?????
Sungura aliposhindwa kuyafikia matunda, alisema hayajaiva...what innovations have or can your people showcase to the world? Your youth are the most useless the galaxy has ever seen kazi umbea na mdomo tu.wanafanya kazi nzuri kuondoa nairobi culture??
kumbe na nyie huwa hamyapendi yale matakataka..
Go slow on them please... Watakuletea kibera hapa. 😅😅Mbona wenzetu wamekula mori hivi? Mwingine anataja KQ wakati ATCL inaikota kutu haijasafiri nje ya mipaka Danganyika na walifungua nyuzi nyingi za Mumbai.
Sungura aliposhindwa kuyafikia matunda, alisema hayajaiva...what innovations have or can your people showcase to the world? Your youth are the most useless the galaxy has ever seen kazi umbea na mdomo tu.
Ndio maana nimekubali tulifanya makosa na tukajirekebisha. Kama umewahi fanya biashara utaelewa kuwa makosa na biashara ni ndugu na dada. Hata Microsoft na Cocacola zilifanya makosa na zikajirekebisha. Makosa ni kufanya makosa halafu mtu akose kujirekebisha.Hapana Tony, katika hili lazima mkubali kwamba mpo na mapungufu makubwa sana katika kupanga mambo yenu, kawaida ticket za ndege zinanunuliwa hadi miezi sita ijayo, tulitegemea kwamba kabla ya kuanzisha safari muhimu kama hizi, angalau mngekuwa mumeuza tickets za mwenzi mmoja, kumbe hata tickets za wiki mlikua hamjauza, sasa kwanini mlitangaza daily flights to New York?
wanafanya kazi nzuri kuondoa nairobi culture??
kumbe na nyie huwa hamyapendi yale matakataka..
What about BRT ONLY??
Illiterate gavanor ever,
Minemko kwa Kwenda mbele, this again wont work,
Lets come back here on Tuesday to evaluate the moves of uneducated Gavanor, the drug trafficker.
A company with resources like KQ should not make such schoolboy blunders.Ndio maana nimekubali tulifanya makosa na tukajirekebisha. Kama umewahi fanya biashara utaelewa kuwa makosa na biashara ni ndugu na dada. Hata Microsoft na Cocacola zilifanya makosa na zikajirekebisha. Makosa ni kufanya makosa halafu mtu akose kujirekebisha.
Ndio maana nimekubali tulifanya makosa na tukajirekebisha. Kama umewahi fanya biashara utaelewa kuwa makosa na biashara ni ndugu na dada. Hata Microsoft na Cocacola zilifanya makosa na zikajirekebisha. Makosa ni kufanya makosa halafu mtu akose kujirekebisha.
Yu can't stand the fact that Kenya's GDP is bigger than yours? Lol. Kila siku waizungumzia. Jealousy might kill you in the near future. Take charge young boy
Your GDP statistics has no actual reflection to you citizens especially when it comes to financial advancement, I know number of people from kenya living in an extremely poor statuses. Ni vile mumeamua kushupaza shingo tu no matter the circumstances.Lol.Endelea kujiliwaza. Wanaopika data wanajulikana vizuri.
Wait until GDP statistics are out. $88b vs$55b
Hapana wakat mwingine mkubali kua mulikosea sio kila kitu kutetea bro😂😂😂Hakuna business strategy ambayo haiwezi badilishwa kwani strategy nzuri ni ile ina change based on changing circumstances.
Ahaaa haaa haaa
nimesikia eti viongozi wa matatu wanapanga mgomo.
tuone nani mshindi.
Lol. Your country has the highest number of people living under $1per day. Why do you think you are still an elodisi? Poverty is one reason
Na ukitaka kujua mziki mnene ni hao majamaa wa matatu, hawanaga cha kupoteza, bangi na ukora na wanabaka hadi wanawake humo, Imagine
Lol. Why are you still an LDC? Stop consoling yaself.
Hii kitu itaisha hii wiki. Next week hutaiskia tenaSonko anasema watembee wafanye mazoezi.... Eti wamezidi uvivu.... Da! Kweli mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaa
This is the better outcomes of the right to election, for the sake of the so called Democracy in Africa,It's a problemView attachment 954129