No more dairy products from Kenya in Tanzania

how has tz changed? maybe from killing albinos...but nothing else...you are still the same poor LDC country...jitoeni hapo kwanza kisha mje tuongee kama watu wazima...
Hahaha take chill pill broh we meant it.
 
I didn't say we'll block everything, nimesema next ni KQ! Mark my point!

Eti you don't need tz? Since when if I may ask![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
tungewatoa tz kwa eac...coalition of the willing will survive...ama tulete ethiopia...although ethiopia hawapendi kufanya biashar na watu wengine...
COW imeshakufa kwa taarifa yako kama hujui! SS inaona imetengwa, Kagame na M7 waligoma kuja hata uzinduzi wa SGR!

If the thing is called coalition of the willing, then no body is interested any more
 
Hawa watu wako very useless. Tatizo la wachangiaji wengi hapa hawaelewi kiingereza. Hata hawajui kile wanachobisha. Gas inakuwa imported kupitia bandari la Mombasa. Ifike Tanzania kisha irudishwe Kenya. Huo ni upumbavu gani?

Hilo ni tatizo lako binafsi kufikiri wengi hawaelewi hiyo kauli
 
Mkuu huna haja ya kutukana watu, we leta hoja zako zichambuliwe na members kama zina mshiko watakuunga mkono - lugha unayo ileta hapa inakuvunjia heshima, mtu mzima hapaswi kufanana kama watoto wa shule za msingi. Kumbuka Tanzania ikihamua kufunga mipaka yake nyie ndio mtalalamika kwanza - nyinyi ndiyo mnatuhitaji sana sio sisi - hilo likumbuke sana - hapa unaleta maigizo tu kujifanya as if hamtutegemie sana kibiashara wakiti ukijui fika hiyo si kweli - tukiwageuzia kibao mtalia na kusaga meno.
 
Mkuu huna haja ya kutukana watu, we leta hoja zako zichambuliwe na members kama zina mshiko watakuunga mkono - lugha unayo ileta hapa inakuvunjia heshima, mtu mzima hapaswi kufanana kama watoto wa shule za msingi.
Huyu ni under 18 tulishamzoea, ndo yuko first year pale JKUAT!
 
some idiotic Tanzanians think that Kenya, East Africa's largest economy needs their stupid LDC country!!!
Nyang'au ni Nyang'au tu, sisi tunaangalia tu mtakavyoraruana na uchaguzi wa mwaka huu, hapa kwetu tuko na Wa Kenya Mitaani wamejenga Vijumba vyao hawana hata permit sisi tunawaangalia tu, nyie mnaweza? Sisi tuko na upendo japo nyie mnatuchukia.
 
yaonekana hujafika Kenya...Njoo uone watanzania wenzako walivyochoka mbaya hapa Gikomba wakiuza mitumba..Infact hata wametengeneza macartels acha kuishi bure.
 
yaonekana hujafika Kenya...Njoo uone watanzania wenzako walivyochoka mbaya hapa Gikomba wakiuza mitumba..Infact hata wametengeneza macartels acha kuishi bure.
Kwani Kenya ndio nini? We unaona mahali pa kuishi ni kENYA PEKE YAKE. Nyang'au ni Nyang'au.
 
Pamoja na kuzuia kuna bidhaa zingine zitaingia humu sababu wana viwanda humu
Mf Unilever wao wataendelea kuleta hizo Omo na Blue band
 
yaonekana hujafika Kenya...Njoo uone watanzania wenzako walivyochoka mbaya hapa Gikomba wakiuza mitumba..Infact hata wametengeneza macartels acha kuishi bure.
Kama unatumia kigezo cha kazi, bas nathubutu kusema hata wewe hujafika tz!

Kuna wakenya wengi sana mkoa wa Mara wanaopitia mpaka wa sirari ambao hawana kazi, kila siku wanakamatwa na uhamiaji
 
Kwani Kenya ndio nini? We unaona mahali pa kuishi ni kENYA PEKE YAKE. Nyang'au ni Nyang'au.
sijakwambia uishi kenya nmesema hujafika,nkimaanisha njoo uone watz wenzako pia huku usijigambe kwamba ni wakenya peke yake ndio wako tz..
 
sijakwambia uishi kenya nmesema hujafika,nkimaanisha njoo uone watz wenzako pia huku usijigambe kwamba ni wakenya peke yake ndio wako tz..
Wamejenga kama wenzenu huku?
 
Kama unatumia kigezo cha kazi, bas nathubutu kusema hata wewe hujafika tz!

Kuna wakenya wengi sana mkoa wa Mara wanaopitia mpaka wa sirari ambao hawana kazi, kila siku wanakamatwa na uhamiaji
whats wrong with you guys???if you read my statement you can clearly deduce I was trying to pump some sense into your fellow tz head,,trying to mek him understand there are tanzanians living in kenya too.i didnt say there are no kenyans in tz
 
Consumers are on receiving end. How shall I do without quality Brookside milk,butter and cheese? Hili siyo jambo la kushabikia hata kidogo.
 
wanaown mpaka flats pipeline..alafu sehemu za pwani kwenye natoka,kuanzia mariakani mpaka msa,msa mpaka kilifi ndio usiulize wamejaa ile proper yani...
Sawa acheni kutubagua sisi ni ndugu moja tu, hii mipaka aliweka mkoloni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…