No more dairy products from Kenya in Tanzania

wakenya wanaongea sana na kujifanya wajuaji ila kwenye huu mgogoro wao ndio wataathirika zaidi
 
personally siezi wabagua na kama ushawai tembea mombasa utajua naongelea nni..tanzanians are very much at home there.they come and leave as they wish,do their daily businesses as they see fit,shida inaletwa na mambo ya siasa za kilafi
Ok, sawa kama Wakenya wote wangefikiri hivi sidhani kama Tungerumbana.
 
Njaa zinawauwa mmekalia tu kula mirungi kama mbuzi kulima hamtaki mnazunguka Nairobi na masuti ya oversize na mibaasha ya kaki mikuubwa kumbe ndani mmepaki mirungi na big G mnaenda kuzitafunia uhuru Park.
Hahaha... We jamaa unazidi kuniuwa, bado wapigwe ban kwenye KQ, KCB bank akili itawakaa sawa
 
Hahaha... We jamaa unazidi kuniuwa, bado wapigwe ban kwenye KQ, KCB bank akili itawakaa sawa
Kiukweli sisi hatuihitaji Kenya Kwa lolote zaidi ya soko la bidhaa wao ndio wanaotuhitaji sisi.
Hakuna bidhaa inayozalishwa Kenya, Tanzania hakuna.

Masoko ya Tanzania ni makubwa, Rwanda, Burundi, Uganda, Mozambique, Congo, Zambia, Zimbabwe, Comoros wote wanatuhitaji
 
whats wrong with you guys???if you read my statement you can clearly deduce I was trying to pump some sense into your fellow tz head,,trying to mek him understand there are tanzanians living in kenya too.i didnt say there are no kenyans in tz
Nothing is wrong with us, tunawekana sawa pale mnapojipa misifa isiyotakiwa.

Mfano, badala ya kusema " I didn't say there are no Kenyans in tz, ulitakiwa kusema I DIDN'T SAY THERE ARE NO JOBLESS KENYANS IN TZ!
 

Mkuu nakumbuka mwaka jana kuna mdada/Mmama millionaire hapo nairobi iligundulika kuwa alikuwa anafanya mapenzi na maiti kwa miaka zaidii ya kumi ili aupate utajiri, ilitangazwa radioni.

So, kwa africa asilimia kubwa matajiri utajiri wao kuna uhusiano wa shirki hata kidogo.
 
how has tz changed? maybe from killing albinos...but nothing else...you are still the same poor LDC country...jitoeni hapo kwanza kisha mje tuongee kama watu wazima...
Huyu Mungu wa Wakenya yupo wapi sikuhizi? [emoji23]

 
Njaa zinawauwa mmekalia tu kula mirungi kama mbuzi kulima hamtaki mnazunguka Nairobi na masuti ya oversize na mibaasha ya kaki mikuubwa kumbe ndani mmepaki mirungi na big G mnaenda kuzitafunia uhuru Park.
Hahahaha....!
 
Inashindwa kulipa had I wafanyakazi mishahara. Kuanzua ma nurse had I sasa wakufunzi
 

Lakini hebu tufikirie hili bila ya kuweka huu utaifa wetu mbele...

Je, hili ambalo Tanzania inafanya iko sawa? Is Kenya really on the wrong here?

Kenya imezuia gesi ya Tanzania kupitia mpakani Namanga kwa sababu hawana uhakika na usalama na gesi hizo, hamna facilities mle wa kukagua uhalali wa gesi hizo pale mpakani. kwahivyo hawa wafanyi biashara wa Tanzania wameambiwa wazipitishe Mombass.

Ngano. Kenya ilizalisha ngano ya kutosha, ilhali Tanzania kuna upungufu.
Lakini sasa eti Tanzania inaagiza ngano kutoka nje, halafu kuuzia tena wakenya.

Hapo angalia masuala haya?
 
some idiotic Tanzanians think that Kenya, East Africa's largest economy needs their stupid LDC country!!!
You are beyond stupid

Big economies survive on export

I urge Tanzania government to top all Kenya imports

Wale maziwa yao tutakua soya
 
Alafu hii ni hospitality kubwa sana hapo Nairobi wanataili hadi wanaume yani na operation wanafanya. Lol! Wanakata hadi kilimi wanawake. Soma services Alafu mtu anadai Nairobi ni London.View attachment 535313


nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…